Pages


PD CLASSIC WEAR

PD CLASSIC WEAR

BIGGIE BOYZ FASHION


Karibu Biggie Boyz Fashion!
Tunapatikana Kiusa Road mkabala na Siester, pia tunapatikana Double Road Barabara ya Mawenzi Hospital. Karibu ujipatie nguo za aina mbalimbali we kama ni kijana wa sasa njoo Biggie Boyz Fashion ujipatie Nguo za aina mbalimbali.

Vijana wa zamani pia hatujawaacha nyuma Karibu Biggie Boyz Fashion, unaambiwa  ni kama zamani njoo ukumbukie ujana wako ulivyokuwa unalipuka.
Biggie Boyz Fashion ndo Habari ya Mujini kwa sasa yani mpaka Bhaaaaaaaaaaaaaas!